Ole Medeye ahamia UDP

Chama cha United Demokratic Party, UDP, kimewataka wabunge wa UKAWA kurejea na kuhudhuria vikao vya Bunge kwani jukumu lao ni kuwawakilisha wananchi waliowachagua na kitendo cha kuendelea kususia Bunge ni sawa na kuwanyima haki watanzania.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS