Prof. Ibrahim Lipumba aomba kurudia nafasi yake
Aliyekuwa mwenyekiti wa CUF Prof. Ibrahim Haruna Lipumba amemuandikia barua Katibu Mkuu wa Chama hicho Maalim Seif Sharif Hamadi ya kuomba kutengua barua yake ya mwaka yana ya kujiuzulu nafasi yake ya uenyekiti wa chama hicho.