Gondwe aahidi kusimamia miradi ya maji Handeni Mkuu wa Wilaya ya Handeni mkoani Tanga Godwin Gondwe amesema atasimamia vyema miradi ya maji katika wilaya yake ya Handeni ili wananchi wanaopata tabu ya maji waweze kunufaika na upatikanaji maji. Read more about Gondwe aahidi kusimamia miradi ya maji Handeni