Hatupigi magoti Simba kuomba barua ya Kessy-Jerry Beki wa Yanga, Hassan Kessy Klabu ya Yanga imesema, hawawezi kuiomba Klabu ya Simba barua ili beki wao Hassan kessy aweze kupata ruhusa kutoka CAF kucheza mechi zilizobakia za hatua ya makundi ya FA Afrika. Read more about Hatupigi magoti Simba kuomba barua ya Kessy-Jerry