Serikali kujenga vituo vya afya 105 nchini 2016/17 Waziri wa TAMISEMI George Simbachawene amesema serikali katika kipindi cha mwaka wa fedha 2016/2017 inatarajia kujenga vituo vya afya 105 katika maeneo mbalimbali nchini. Read more about Serikali kujenga vituo vya afya 105 nchini 2016/17