Ruvu Shooting yaachana na kocha Tom Olaba Aliyekuwa kocha wa Ruvu Shooting, Tom Olaba Timu ya soka ya Ruvu Shooting ya Mkoani Pwani imeachana na kocha wake Tom Olaba raia wa Kenya,pamoja na Kocha huyo kuiridisha timu hiyo Ligi Kuu bara. Read more about Ruvu Shooting yaachana na kocha Tom Olaba