Serikali yakifungia chuo cha Mbeya Polytechnic
Baraza la Udhibiti wa Vyuo vya Ufundi nchini Tanzania NACTE imekifungia chuo cha Biashara, Mifugo na Kilimo cha Mbeya Polytechnic kwa kushindwa kukidhi vigezo ikiwa ni pamoja na kudahili wanafunzi wasio na sifa.