"Michosho ilinifanya niwe producer" - Man Water. Producer wa muziki wa kizazi kipya (bongo fleva) kutoka studio za combination sound, man Watr, ametoa kile ambacho wengi walikuwa hawakijui sababu ya yeye kuamua kuwa producer. Read more about "Michosho ilinifanya niwe producer" - Man Water.