Messi aanza kuitendea haki Argentina atupia 3 leo.
Mshambuliaji Lionel Messi ambaye amekuwa akionekana kama hana bahati sana akiichezea timu yake ya taifa ya Argentina ikilinganishwa na jinsi anavyofanikiwa akiwa na FC Barcelona hii leo ameanza kufuta mdudu huyo wa mkosi ndani ya Ajentina.