Uhaba wa sukari kumalizika karibuni - Majaliwa
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewahakikishia watanzania kwamba serikali inaendelea na jitihada za kuondoa tatizo la uhaba wa sukari nchini ambapo jumla ya tani 20,000 zilisambazwa jana katika maeneo mbalimbali nchini.