Eng Nyamhanga awataka makandarasi kumaliza ujenzi.

Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi) Eng.Joseph Nyamhanga amemuagiza Mkandarasi anayejenga Barabaraya Dodoma –Mayamaya yenye urefu wa Kilomita 43.65 kumalizia kipande cha barabara ya kutoka Dodoma hadi Msalato.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS