Zanzibar kuwa kitovu cha filamu duniani: Dkt Shein
RAIS wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa Zanzibar inaweza kupiga hatua kubwa ya kimaendeleo katika tasnia ya utengenezaji filamu na maigizo kutokana na mandhari na historia yake katika fani hiyo sambamba na mikakati liyojiwekea.

