Trilioni 2.8 zimetengwa na UN kuisaidia Tanzania. Umoja wa Mataifa umezindua mpango wa mashirikiano kati yake na nchi ya Tanzania kwa lengo la kushirikiana katika kuwaletea wananchi wa Tanzania maendeleo. Read more about Trilioni 2.8 zimetengwa na UN kuisaidia Tanzania.