Waziri wa Maji na Umwagiliaji ,Mhandisi Lwenge akizindua rasmi moja ya mradi wa maji
Serikali imesema kuwa imeanza kushughulikia tatizo la upungufu wa maji ikiwa ni pamoja na kuwakamata watu watu wanaosabisha uhaba wa maji kwa makusudi ikiwemo kujiunganishia huduma hiyo kiholela.