Makampuni 300 kuchunguzwa wizi wa kutumia EFD'S
Mamlaka ya Mapato nchini Tanzania TRA, imesema inazichunguza kampuni 300 zilizokuwa zikishirikiana na mtu anayetuhumiwa kutengeneza mfumo wa kuibia serikali fedha aliyefahamika kwa jina la Mohammed Murtaza Yusuph Ali.

