Mgodi wa GGM umeajiri watanzania 1568- Dk.Kalemani Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani amesema kwamba mgodi wa madini ya dhahabu Geita umetoa ajira kwa watanzania 1568 katika shughuli mbalimbali ndani ya mgodi huo. Read more about Mgodi wa GGM umeajiri watanzania 1568- Dk.Kalemani