Muswaada wa sheria ya wazee kuwasilishwa Bungeni
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema kuwa wizara yake inatarajia kuwasilisha bungeni muswada wa sheria ya wazee itakayolinda na kusimamia maslahi ya wazee nchini katika bunge lijalo la Septemba mwaka huu.