Fursa zilizopo Songwe zitumike kukuza elimu
Mkuu wa mkoa wa Songwe Luteni Kanali Chiku Galawa amesema mkoa huo umeweka mpango mkakati maalumu wakuwashirikisha wadau mbalimbali nchini ili kuhakikisha wanasimamia sekta ya elimu katika mkoa huo ili kuwezesha sekta hiyo ikuwe kwa kiwango kikubwa.

