Madereva wajisaidia kwenye magari kwa kukosa vyoo
Madereva wa Magari makubwa ya kuchukulia mizigo katika eneo la Mwanjelwa jijini Mbeya wanalazimika kujisaidia haja ndogo katika
magari yao au kandokando ya miti iliyopo kandokando ya barabara kutokana na kukosekana kwa choo.
