Jerry Muro Mkuu wa kitengo cha Habari na Mawasiliano wa Yanga, Jerry Muro, amefungiwa mwaka 1 kutojihusisha na masuala ya soka pamoja na kutozwa faini ya Sh. Milioni 3. Read more about Jerry Muro