Yanga inaweza kuadhibiwa na CAF - Malinzi
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limerudisha jukumu lake la kusimamia mashindano ya kimataifa ya vilabu vyake hapa nchini, kutokana na uwezekano wa Yanga kuadhibiwa na CAF kutokana na vurugu zilizojitokeza katika mchezo wake na TP Mazembe.
