Yanga kujinoa dhidi ya Waghana

Klabu ya soka ya Yanga inatarajia kuanza mazoezi ndani ya siku mbili kwa ajili ya mechi dhidi ya klabu ya Medeama ya Ghana na kambi itakuwa kati ya Dar es Salaam au Mwanza.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS