Luol Deng ajiunga na LA Lakers, NBA
Mchezaji wa Ligi ya Kikapu nchini Marekani NBA, Muingereza Luol Deng amesaini mkataba wa miaka 4 kujiunga na timu ya Los Angeles Lakers akitokea Miami Heat kwa dau la dola za kimarekani milioni 72 (takriban shilingi bilioni 150 za kitanzania)

