Wales kusaka rekodi ya UK kuelekea fainali leo hii
Kikosi cha timu ya taifa ya Wales kilicho katika ubora wa hali ya juu kinaivaa Ureno katika mchezo muhimu sana wa nusu fainali ya michuano ya mataifa ya Ulaya kikitaka kuweka historia mpya katika michuano hiyo mikubwa kwa kutinga fainali hii leo.
