Majaji Mahakama ya Mafisadi kupewa semina maalum Jaji Mkuu wa Tanzania Mohammed Chande Othman. Jaji Mkuu wa Tanzania Mohammed Chande Othman amesema Mahakama Maalumu ya mafisadi na uhujumu uchumi nchini itaamua kesi kwa muda usiozidi miezi tisa na kwamba itaanza na majaji 14. Read more about Majaji Mahakama ya Mafisadi kupewa semina maalum