Vijana tumieni fursa ya Mitandao kujiajiri-Mgonja

Vijana wakiwa Internet kutafuta mambo mbalimbali

Vijana wametakiwa kutumia fursa zinazopatikana katika mitandao ya kijamii ili kujiajiri na kujikwamua kiuchumi kwa kuweza kuanzisha miradi mbalimbali itakayoweza kuwafaidisha kupitia mitandao hiyo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS