Kinga ya Ukimwi haifanyi kazi kwa wasichana

Mkurugenzi mkuu wa UNAIDS,Michel Sidibe

Ripoti inaonyesha kuwa kinga dhidi ya Ukimwi haifanyi kazi kwa wasichana ukanda wa kusini mwa jangwa la Sahara huku wengi wakihitaji msaada wa kinga ili kuepuka maambukizi mapya.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS