Mashali awataka Maproo kuchangamkia Olimpiki.
Baada ya kutolewa fursa ya kushiriki kwa mabondia wa ngumi za kulipwa katika michuano ya Olimpiki ya mwaka huu kufuatia mabadiliko ya kanuni za kimataifa za mchezo huo, wito umetolewa kwa mabondia wa ngumi za kulipwa kuchangamkia fursa hiyo.