Asilimia 15 ya Wtz kupata watoto wenye Selimundu
Mratibu wa Kitengo cha Selimundu wa Chuo cha Tiba Muhimbili, Dk. Deogratius Soka amesema kuwa asilimia 15 ya Watanzania wako hatarini kupata watoto wenye tatizo la Selimundu kufuatia kubeba vinasaba vya ugonjwa huo bila ya wao kujua.