Vyuo vikuu Tanzania kutekeleza sera ya viwanda Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof. Joyce Ndalichako amevitaka vyuo vikuu Tanzania kuunga mkono serikali ya awamu ya tano juu ya uanzishwaji wa viwanda kuelekea uchumi wa kati. Read more about Vyuo vikuu Tanzania kutekeleza sera ya viwanda