Ukosefu madini joto hatari kwa wakazi wa Kusini
Kukithiri kwa watoto wanaozaliwa na mtindio wa ubongo na kuharibika mimba kwa kina mama ni miongoni mwa athari zinazoweza kuikumba mikoa ya Lindi na Mtwara kutokana na kukosa matumizi ya chumvi yenye madini joto.
