Polisi yaonya ubebaji wa kiasi kikubwa cha pesa

Mkuu wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna wa Polisi Simon Siro

Wafanyabiashara wanaoweka na kutoa fedha zao kwenye benki mbali mbali nchini wametakiwa kutumia mfumo wa malipo kwa njia za kielektroniki ikiwemo ile ya mitandao ya simu za mkononi ili kuepusha uwezekano wa kuporwa fedha zao na majambazi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS