Serengeti Boys kambini kujinoa kuivaa SheliSheli
Timu ya Taifa ya vijana, Serengeti Boys inaingia kambini leo kujiandaa na mchezo wa kufuzu fainali za kuwania Kombe la Mataifa ya Afrika dhidi Shelisheli utakaofanyika Juni 26, mwaka huu kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.