Rais Magufuli amteua Mwenyekiti wa bodi TPA.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli amemteua Bw Ignas Aloyce Rubaratuka kuwa Mwenyekiti wa bodi ya Mamlaka ya Bandari nchini TanzaniaTPA kwa kipindi cha miaka mitatu ijayo kuanzia tarehe 21 April.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS