Ilala yakabiliwa na tatizo la ubakaji kwa watoto. Wakati Tanzania itaungana na nchi nyingine za Africa kuhadhimisha siku ya Mtoto wa Africa hapo kesho , Halmashauri ya wilaya ya Ilala inakabiliwa na changamoto kubwa ya ubakaji kwa watoto. Read more about Ilala yakabiliwa na tatizo la ubakaji kwa watoto.