Matapeli kukamata bodaboda na pikipiki Dar.
Kufuatia kuwepo na kundi kubwa la vijana wanaokamata madereva Bodaboda na Bajaji wanaoingia maeneo ya katikati ya jiji la Dar es salaam, Kampuni iliyopewa mamlaka ya kukamata madereva hao ya Tambaza Auction Mart and General Broker imejitokeza.