Watoto laki 4 hufanyiwa vitendo vya ukatili nchini
WAKATI kesho bara la Afrika likiadhimisha siku ya mtoto wa Afrika Tafiti mbalimbali zinaonesha zaidi ya watoto laki
nane na tisini nchini wanaishi katika mazingira Hatarishi yanayoambatana na kufanyiwa vitendo vya ukatili.