Wanafunzi wakosa masomo kwa ukosefu wa vyoo

Wanafunzi wakiangalia vyoo wanavyovitumia

Wanafunzi wa Shule ya msingi Maendeleo Manispaa ya Mtwara Mikindani wanalazimika kukosa sehemu ya vipindi vya masomo darasanai kutokana na kupanga foleni kusubiri zamu ya kwenda kujisaidia chooni.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS