Vivutio vyaTanzania kutangazwa kielektroniki
Bodi ya Utalii nchini Tanzania (TTB ) imesema kuwa kutokana na mabadiliko ya teknolojia yanayoonekana kushika kasi hivi sasa imewalazimu kutumia njia za mitandao ya kijamii katika kutangaza vivutio mbalimbali vilivyopo nchini Tanzania.