Wafugaji watakiwa kufuga kibiashara kuinua uchumi

atibu Mkuu wa Sekta ya Mifugo kutoka Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi Dkt. Marry Mashingo

Wafugaji nchini Tanzania wameshauriwa kufuga kibiashara ili kuweza kushiriki kikamilifu katika mageuzi ya kiuchumi kupitia viwanda kwa ajili ya mazao ya mifugo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS