Tumeshawalipa Stars, hawana madai kwetu - TFF

Shirikisho la Soka nchini TFF limekanusha madai ya kutokuwalipa wachezaji wa Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars mara baada ya kuvunjwa kwa kambi ya maandalizi ya mchezo dhidi ya Chad pamoja na mchezo dhidi ya Misri.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS