Maganga atimua watumishi sita wa Halmashauri
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Brigedia Jenerali Mstaafu Emanuel Maganga, amewasimaisha kazi watumishi sita wa Halmashauri wa halmashauri ya wilaya ya Kigoma na Manispaa ya Kigoma Ujiji kwa kutoa taarifa za uongo kwa kiongozi wa mbio za mwenge.
