Wananchi wa Gongolamboto walia na TANESCO
Wananchi wa mtaa wa Guluka Kwalala, Gongolamboto Jijini Dar es Salaam wamelitaka Shirika la Umeme nchini Tanesco kwenda kufanya tathmini ya thamani za mali zao na kuwalipa fidia kama ilivyoagizwa na mahakama.