BFT kujikita ndani baada ya kukosa Olimpiki

Shirikisho la ngumi za ridhaa Tanzania BFT litaendelea na programu zingine za mashindano ya ndani kwa mwaka huu, licha ya kuenguliwa kushiriki mashindano ya Olimpiki ya mwezi Agosti, mjini Rio, Brazil.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS