Rugimbana aonya wanaotaka kuvuruga mkutano wa CCM Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Jordan Rugimbana Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Jordan Rugimbana, ametoa onyo kwa watu wote wanaotaka kufanya fujo kwenye mkutano mkuu maalum wa CCM kuwa Dodoma siyo mahali salama kwao. Read more about Rugimbana aonya wanaotaka kuvuruga mkutano wa CCM