Yanga na Azam kuendelea kupangua ratiba ya ligi

Rais wa TFF Jamal Emil Malinzi

Baada ya kupokea lawama nyingi msimu uliopita kutokana na mabadiliko ya ratiba ya ligi, Shirikisho la soka Tanzania TFF, limetoa tahadhari kabisa kwa usumbufu huo kuweza kutokea tena kwa ligi ijayo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS