Lufa anamuota Wiz Kid
Mtayarishaji wa muziki wa kizazi kipya Lufa amefunguka ndani ya Enews kuhusiana na doto zake za kufanya kazi na Rapa mahiri duniani Wiz Kid, huku akisema atafurahi sana siku atakapo pata nafasi na kufanya kazi na rapa huyo machachari.