Kapombe aanza mazoezi mepesi leo Baada ya kuwa nje ya dimba kwa takribani miezi mitatu, beki wa kulia wa Klabu ya Azam FC, Shomari Kapombe, leo asubuhi ameanza rasmi mazoezi mepesi ya gym. Read more about Kapombe aanza mazoezi mepesi leo