Mapato ya Mkoa wa Morogoro yasaidia jamii-Kebwe

Mkuu wa mkoa wa Morogoro Dkt.Kebwe Steven Kebwe amezitaka halimashauri zote za mkoa huo kutenga asilimia 10 ya michango ya mapato ya ndani kuzielekeza katika kusaidia vikundi vya ujasiliamali kwa kinamama na vijana.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS