Airtel Rising Stars Msimu wa sita kuanza mwaka huu Msimu wa sita wa mashindano ya soka kwa vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Stars unatarajiwa kuzinduliwa jumapili ya Juni 26 mwaka huu jijini Dar es Salaam. Read more about Airtel Rising Stars Msimu wa sita kuanza mwaka huu